Mazingira yaliyo mengi ya Dar es salaam ukitembea kidogo unakutana na dustbin kama hiyo kwenye picha lakini cha kushangaza inawezekana mtu akaiona na akaamua kutupa uchafu pembeni yake huku akiona kabisa kwamba natakiwa nitupe uchafu kwenye dust bin sasa sijui ni mazoea au ni nini tustaarabike jamani tukumbuke kutumia dust bin za barabarani na si kuchafua mazingira kwa kutupa taka ovyo. |
Mazingira kama haya utakuta dust bin ipo pembeni lakini hali ndio kama inavyoonekana kuna kila aina ya takataka mifuko ya nailoni,makaratasi,makopo ya maji nk..ni muhimu kuzitumia dustbin kwasababu zimewekwa kwa ajili ya kutupa taka. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni