Alhamisi, Novemba 18, 2010

Katika mapenzi si rahisi mwanamke kushindana na mwanamume

Katika maisha tunafamu baba ndiye kichwa cha familia na analojukumu  kubwa katika familia lakini hata mama pia ana majukumu  makubwa katika familia, inapotokea migogoro mara nyingi mwanamke hujishusha na kumaliza ugomvi hata kama kosa ni la kwake,vilevile inawezekana mwanamume akatenda kosa  na mwanamke akataka kulipiza kisasi ni jambo ambalo halina maana kwani  kuna walio wengi walijaribu kulipiza visasi kwa waume zao na mwisho wake kuwa mbaya mwanamume anatoka nje na mwanamke naye anafanya vivyohivyo hata siku moja hamuwezi kujenga zaidi ya kubomoa, na siku zote wanaume waliowengi hawakubali kuwa chini jambo hili sio zuri kwani unavyooumia wewe na mwenzio anaumia vilevile maelewano na heshima ni jambo la msingi sana katika mahusiano.

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

Ni kweli inabidi tu tuwe wapole, tena ukijifanya kiburi ndo unakoleza moto. hasa km mwanaume hajiamini. ni noma.
hata siku moja kichwa hakiwezi kuwa mkia.

Gg

chege's Son alisema ...

may be coz boy!dont trust themself on their gir!in fact it depend m da!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom