Alhamisi, Novemba 18, 2010

Migogoro inaweza kuwa chanzo cha kunyimana haki ya ndoa.

Katika picha wapenzi hao kutokana na migogoro inakuwa vigumu kufurahia mapenzi yao.Chanzo ikiwa ni migogoro ambayo wameshindwa kutafuta ufumbuzi wake na siku zote hali ikiwa hivyo mwisho wake inatokea hali ya usaliti ambapo mwanamke au mwanamume atatafuta wa kumliwaza kutokana na kukosa unyumba katika ndoa yake..Inapotokea migogoro katika mahusiano ni vyema kutafuta ufumbuzi mapema kabla ya mambo hayajawa mabaya zaidi kwani wengine hufikia hatua ya kudharauliana na mwishowe kuachana.

Maoni 3 :

emu-three alisema ...

Migogoroo ni kitu kingine na haki ya ndoa ni kitu kingine, wanaochanganya haya mawili wanakosa baraka za muumba, kwani maneno ya imani yanasema `msinyimane'

Bila jina alisema ...

lakini mijianaume mingine bana agghhh. ukijishusha nalo linazidi kukaza uzi tu. hawabebeki kabisa, wengine ndo wanapatia daraja la kwenda kuzini. hawana lolote. kosa gani halisameheki jamani e? wanaume acheni kibri

Bila jina alisema ...

dah! cz ndounatukandamiza au?but wanawake atanyinyimzingua sana tu.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom