Jumanne, Desemba 28, 2010

Aina ya chakula unachokula inaweza kuwa chanzo cha akili kukosa umakini na usikivu katika mambo fulani.


Wataalamu wanakuambia kama wewe ni mlaji mkubwa wa vyakula kama pizza, chips na karanga ni wazi sehemu ya kiuno chako inaweza kuongezeka ,pia vyakula hivi vina madhara ya kukausha baadhi ya virutubisho mwilini zikiwemo zile zinazoongoza mfumo wa mtu kuwa makini



Ili uweze kukabiliana na hali hiyo pendelea kula zaidi matunda, mboga za majani, mbegu za matunda na samaki.kwani unaambiwa mafuta halisi ya samaki yana madini ya acid ambayo ni muhimu katika ujenzi wa mwili na pia yanasaidia sana kumfanya mtu kuwa makini na msikivu kwenye mambo mbalimbali baadhi ya mbegu za matunda zina madini ya carbohydrates, ambayo huongeza nguvu mwilini na kuongeza uwezo wa akili.


Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom