Huwa nawaza je ni kwanini katika maisha kuna matajiri na wasio na uwezo,,wengine wanamaisha mazuri wengine wanalia kwa hali duni ya maisha..
familia hii katika hali duni ya maisha
familia hii ni tofauti na familia ya mwanzo jamani hivi kwa nini wote tusiwe na hali nzuri na mafanikio mazuri katika maisha,,NI KWA NINI HAIWEZEKANI??
Maoni 3 :
Adela! Maisha ni maisha na unajua hakuna kisichowezekana....amini
Maswali mengine labda mwenye jibu zuri ni Mungu mwenyewe!:-(
Kuna nadharia nyingi sana zinazoweza kutoa angalau fununu kuhusu suala hili. Nadharia za wachumi, wanafalsafa, watu wa dini, walevi n.k.
Unafikiri kwamba hata huko Mbinguni kuna usawa?
Chapisha Maoni