Jen mkazi wa Dar es salaam anauliza swali."mume wangu anataka kuniacha kisa anasema nimejisahau kama nimeolewa kwasababu simwiti majina kama baby,sweet,honey,darling nk.je hii ni sawa nifanyeje jamani
Siku ya harusi watu wanafurahi kama hivi,,lakini mengi yanatukia ndani ya nyumba mazuri na mabaya. hivii kama mwenzio anakosea njia gani unatumia kumkosoa,, haipendezi kumtishia kumuacha bora kufundishana..Jen anaomba ushauri wenu wadau
Sababu kubwa inaweza kuwa ni katika kutafuta ``POWER ´´ tu katika mahusiano yenu kwa hiyo anataka kukutisha ili ajue ni kiasi gani unamuhitaji maishani mwako.Na dawa ya atakaye ``POWER´´ ukistukia anahaja nao wakati huo jishushe huku ukijua unafanya nini kwa kuwa kwa kufanya hivyo upotezi nguvu yoyote kwenye MAHUSIANO zaidi ya kuondoa mikwaruzano na mabishano yasiyo na mpango.
Kumbuka pia katika mapenzi kunaweza kukawa na utoto fulani wa kutaka kudekezwa na kudeka ili mradi tu kustukia tu jinsi unavyopendwa bado hasa baada ya maisha kugeuka na kipaumbele katika mahusiano kuwa ni kitu kingine kama vile watoto , kujenga nyumba, ...nk. kitu kifanyacho mtu kuhisi mpenzi we hamjali na ajalicho ni mambo mengine tu. Mdekeze mwenzio kama una muda kwa kuwa mara nyingi umfanyiavyo mwenzio kama anakupenda kweli basi naye atakudekeza pia kinamna wakati mwingine.
Kikubwa katika swala lako kama unampenda na shida yake ni kuitwa HONEY- kwanini umeacha kumuita?
Kwa kuwa katika matatizo ya uhusiano kama anajingine analolitafutia sababu - wewe HATA umuite hayo majina bado ataibua jingine - la hata kuwa wala hupiki chakula kitamu ingawa upikavyo havijageuka, .....
Muite majina hayo kama unataka kustukia kitu.AKIWA NALO utajua tu hapo baadaye kwa kuwa KUITA MTU jina tu si kaazi kihivyo ukilinganisha na waombwao tigo ghafla kama chakula kikuu hata kama TIGO haikuwepo katika mlo kabla na kutishiwa kuwa kama kitigo jicho halitatolewa basi ndo NDOA imekufa.:-(
Pia: Usimbishie wakati ana mori na kitu na unahisi anataka tu kugombana na mtafutie wakati muite majina yake na kumuuliza nini hasa kinamsibu wakati katulia na UMESHAMPA BONGE LA PENZI la NGUVU kwa kuwa kuna kitu labda haridhiki nacho na wala hata sio majina.
Na mwenye jibu sahihi unaweza kukuta ni huyohuyo mme wako.
Ni wazo tu hili nachangia wakati nafikiria tatizo lako JEN!
Alivyomuoa huyo baby, alimpendea labda kwa sauti yake nyororo akiita kwa mahaba majina hayo, sasa sauti hiyo haipo tena, kwahiyo mapenzi yameyeyuka. Ni kama wengine, dada Adela wanakupendea, kwa hilo pozi hapo juu, sasa kesho na kesho kutwa pozi halipo tena, mmmh, wengine watabwaga manyanga!..lol! Kwanini nasema hivyo, ni kwasababu binadamu tulivyo kigeugeu, tunapenda vitu kwa matamanio, sio pendo, sio penzi halisi. Na hutaamini kuna jamaa alimuoa muimbaji kwasababu ya sauti yake, kuna msichana alimpenda mvulana kwasababu ya misuli yake, sasa kama hivyo havipo tena ina maana gani, ni kuwa penzi nalo limekwisha. Na ndoa inayumba! Tunapooana tujue tumeingia katika nyanja nyingine, nyanja hii ni ya vyote, haina kupenda kwasababu ya sura tu, sauti tu, majina tu...hapa ndoa ina maana manachukuana kwa ujumla! Upende vyote... Tuwe makini tunaposema `nakupenda', tuwe makini tunapowekeana ahadi za uchumba, tuwe makini zaidi tunapoamua kuvikana pete za uchumba, kwani hapo wengine husema, `lilofungwa na mungu binadamu hawezi kulifungua..' sijui, kama kusigishana kukizidi mpaka itakuwaje....au sio. Masikini, ile sauti nyororo ya `darling, mpenzi, baby, asali wa moyo, haipo tena, mmmh, lakini ni lako hilo, unalo, inabidi ufunge mkannda, ikibidi mlishe mayai au chumvi au sijui nini, ili ile sauti nyororo irejee, kwani ndoa, ni kila kitu ...!
wengine hawaishagi tu sababu, loh inchosha nyie mcpime. yani yy afanyiwe kwnagu atafanya lini , ma mr acheni usultani, wapendeni wake zenu. jueni kula na vipofu. cyo umwinyi always
mmmh pole bi dada... bt nadhani jamaa anatania tu,anajaribu kukukumbusha umuhimu wa majina hayo ya honey, sweet nk katika mapenzi.....most of us women tunajishughulisha sana kabla hatujaolewa,ukiwekwa ndani unapoa with confidence eti kifo kitawatenganisha!waaapi dada!mapaka shume kibao nje wanawinda wame za watu,wanasubiri uteleze kidogo tu watumie nafasi hiyo......upo shoga?? wanaosema mwanaume ni sawa na mtoto mdogo hawajakosea hata kidogo...mbembeleze,mwite majina yoooooote atakayo ka zamani shoga angu,ikibidi now zidisha manjonjo zaidi....... Pia aunt mshukuru mumeo kwa kuambia kinachomkwaza,lingine lingetoka mkuku kwa kimada likaitwe honey huko,likadekezwe huko! majina ya honey,sweet,darling.babycakes,mtamu etc yana raha yake ktk penzi...shost yatumie!!!!!
Maoni 4 :
Jen,..
.... huyo MUMEO labda anasababu zake tu nyingine!
Sababu kubwa inaweza kuwa ni katika kutafuta ``POWER ´´ tu katika mahusiano yenu kwa hiyo anataka kukutisha ili ajue ni kiasi gani unamuhitaji maishani mwako.Na dawa ya atakaye ``POWER´´ ukistukia anahaja nao wakati huo jishushe huku ukijua unafanya nini kwa kuwa kwa kufanya hivyo upotezi nguvu yoyote kwenye MAHUSIANO zaidi ya kuondoa mikwaruzano na mabishano yasiyo na mpango.
Kumbuka pia katika mapenzi kunaweza kukawa na utoto fulani wa kutaka kudekezwa na kudeka ili mradi tu kustukia tu jinsi unavyopendwa bado hasa baada ya maisha kugeuka na kipaumbele katika mahusiano kuwa ni kitu kingine kama vile watoto , kujenga nyumba, ...nk. kitu kifanyacho mtu kuhisi mpenzi we hamjali na ajalicho ni mambo mengine tu. Mdekeze mwenzio kama una muda kwa kuwa mara nyingi umfanyiavyo mwenzio kama anakupenda kweli basi naye atakudekeza pia kinamna wakati mwingine.
Kikubwa katika swala lako kama unampenda na shida yake ni kuitwa HONEY- kwanini umeacha kumuita?
Kwa kuwa katika matatizo ya uhusiano kama anajingine analolitafutia sababu - wewe HATA umuite hayo majina bado ataibua jingine - la hata kuwa wala hupiki chakula kitamu ingawa upikavyo havijageuka, .....
Muite majina hayo kama unataka kustukia kitu.AKIWA NALO utajua tu hapo baadaye kwa kuwa KUITA MTU jina tu si kaazi kihivyo ukilinganisha na waombwao tigo ghafla kama chakula kikuu hata kama TIGO haikuwepo katika mlo kabla na kutishiwa kuwa kama kitigo jicho halitatolewa basi ndo NDOA imekufa.:-(
Pia: Usimbishie wakati ana mori na kitu na unahisi anataka tu kugombana na mtafutie wakati muite majina yake na kumuuliza nini hasa kinamsibu wakati katulia na UMESHAMPA BONGE LA PENZI la NGUVU kwa kuwa kuna kitu labda haridhiki nacho na wala hata sio majina.
Na mwenye jibu sahihi unaweza kukuta ni huyohuyo mme wako.
Ni wazo tu hili nachangia wakati nafikiria tatizo lako JEN!
Alivyomuoa huyo baby, alimpendea labda kwa sauti yake nyororo akiita kwa mahaba majina hayo, sasa sauti hiyo haipo tena, kwahiyo mapenzi yameyeyuka. Ni kama wengine, dada Adela wanakupendea, kwa hilo pozi hapo juu, sasa kesho na kesho kutwa pozi halipo tena, mmmh, wengine watabwaga manyanga!..lol!
Kwanini nasema hivyo, ni kwasababu binadamu tulivyo kigeugeu, tunapenda vitu kwa matamanio, sio pendo, sio penzi halisi. Na hutaamini kuna jamaa alimuoa muimbaji kwasababu ya sauti yake, kuna msichana alimpenda mvulana kwasababu ya misuli yake, sasa kama hivyo havipo tena ina maana gani, ni kuwa penzi nalo limekwisha. Na ndoa inayumba!
Tunapooana tujue tumeingia katika nyanja nyingine, nyanja hii ni ya vyote, haina kupenda kwasababu ya sura tu, sauti tu, majina tu...hapa ndoa ina maana manachukuana kwa ujumla! Upende vyote...
Tuwe makini tunaposema `nakupenda', tuwe makini tunapowekeana ahadi za uchumba, tuwe makini zaidi tunapoamua kuvikana pete za uchumba, kwani hapo wengine husema, `lilofungwa na mungu binadamu hawezi kulifungua..' sijui, kama kusigishana kukizidi mpaka itakuwaje....au sio.
Masikini, ile sauti nyororo ya `darling, mpenzi, baby, asali wa moyo, haipo tena, mmmh, lakini ni lako hilo, unalo, inabidi ufunge mkannda, ikibidi mlishe mayai au chumvi au sijui nini, ili ile sauti nyororo irejee, kwani ndoa, ni kila kitu ...!
wengine hawaishagi tu sababu, loh inchosha nyie mcpime. yani yy afanyiwe kwnagu atafanya lini , ma mr acheni usultani, wapendeni wake zenu. jueni kula na vipofu. cyo umwinyi always
mmmh pole bi dada...
bt nadhani jamaa anatania tu,anajaribu kukukumbusha umuhimu wa majina hayo ya honey, sweet nk katika mapenzi.....most of us women tunajishughulisha sana kabla hatujaolewa,ukiwekwa ndani unapoa with confidence eti kifo kitawatenganisha!waaapi dada!mapaka shume kibao nje wanawinda wame za watu,wanasubiri uteleze kidogo tu watumie nafasi hiyo......upo shoga??
wanaosema mwanaume ni sawa na mtoto mdogo hawajakosea hata kidogo...mbembeleze,mwite majina yoooooote atakayo ka zamani shoga angu,ikibidi now zidisha manjonjo zaidi.......
Pia aunt mshukuru mumeo kwa kuambia kinachomkwaza,lingine lingetoka mkuku kwa kimada likaitwe honey huko,likadekezwe huko!
majina ya honey,sweet,darling.babycakes,mtamu etc yana raha yake ktk penzi...shost yatumie!!!!!
Chapisha Maoni