Jumatano, Aprili 06, 2011

Ni furaha kuwa na ushirikaikiano katika kazi.

Katika pozi nikiwa ofisini katika maandalizi ya kipindi cha The BIG SHOW

Eunice Kanumba mtangazaji wa passion fm kipindi cha passion breackfast

Jasmein kushoto mwanadada wa markerting passion fm pamoja na Annet mtangazaji wa passion fm ni marafiki wazuri na tunashirikiana pamoja katika kazi mbalimbali pamoja sana.

Maoni 1 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Safi sana Adela kuwa na marafiki kwani hakuna kitu bora kama marafiki ambao wana shirikiana na ku-jaliana wakati wa raha na shida. Ni mfano mzuri.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom