| Wanafunzi hawa walifika studio za passion fm kwaajili ya kufanya project ,,nilipata nafasi ya kuwauliza nini malengo yao ya baadaye |
| Roze Nawanda malengo yake ni kuwa mwanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi, na ujumbe PARFECT MAKES PARFECT FOR ALL STUDENTS. |
| Glory Wilson anapenda kuwa muandishi wa habari ujumbe wake TUSOME KWA BIDII |
| Nasoro Zaire anapenda kuwa mfanyabiashara ujumbe NO GAIN WITHOUT PAIN |
| latifah Karunda anapenda kuwa mwanasheria ujumbe wake THERE IS NO SWEETY WITHOUT SWEATY |
| Angel Nathaniel anapenda kuwa muandishi wa habari ujumbe wake EDUCATION IS THE WEAPONS OF POVERTY |
| Witness Sanga anapenda kuwa muandishi wa habari ujumbe wake STUDY FOREVER YOU WILL GET WHAT YOU WANT AND GOD IS GREAT |
| Simon Mwanansao anapenda kuwa Doctor,Dj, and DVJ, ujumbe ALL FORM FOUR FORGET ABOUT EVERYTHING,DEAL WITH SCHOOL FIRST YUO SHOULD AIM ON A. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni