Jumapili, Julai 17, 2011

Asanteni wadau kwa kuwa pamoja nami na kupelekea mimi kupata certificate ya Best informative- life and style blog

Nachukua nafasi hii kuwashukuru sana wadau wa Blog hii kwa muda wote ambao tuko pamoja blog hii inatakribani miezi  kumi imebaki miezi miwili tu iweze kutimiza mwaka  nimeweza kupata changamoto mbalimbali naamini nitaendelea kuwaletea vitu mbalimbali vya kuelimisha jamii na mambo mengine mengi tuendelee kuwa pamoja maoni yako ni muhimu sana kwangu nawapenda wote
Naishukuru pia Timu nzima ya Tanzania Blog Awards pamoja sana.

Maoni 4 :

emu-three alisema ...

Hongera kweli unastahili!

Bila jina alisema ...

hongera sana kipenzi unastahili coz unajitahidi sana wangu its me Anna

Bila jina alisema ...

big up my dear keep it up

Bila jina alisema ...

hongera mwaya Adela endelea kutuwekea mambo ya kuelimisha mara kwa mara

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom