Alhamisi, Agosti 18, 2011

furahia uhusiano ulionao wakati wote

Furaha ni jambo la muhimu sana katika mahusiano hivyo basi ni vyema kulinda furaha hiyo iwe ni ya milele baina ya wapendanao kuna njia ambazo huleta furaha katika mahusiano kama kuwa mbunifu,muwazi na muaminifu wakati wote inawezekana kuwa na uhusiano wa kudumu na furaha itawale katika uhusiano ulionao na katika hilo ni vizuri ukimshirikisha Mungu kwa imani yako..

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom