Jumatatu, Agosti 29, 2011

Malezi bora yanamjenga mtoto wako

Mtazame mtoto huyu anaitwa Hilson  anapendeza kulingana na malezi yatokayo kwa baba na mama jamani ushirikiano ni muhimu katika kumlea mtoto isionekane jukumu hilo ni la mama au baba pekee kumbuka malezi bora kuanzia afya ya mtoto, hatua za makuzi na maadili mema hutokana na mzazi au mlezi kwa namna anvyomlea mtoto wake.

Tuwapende watoto na kuwalea katika mazingira mazuri yaliyojaa maadili mema.,na pia kumbuka kumfundisha mtoto wako umuhimu wa  kumtambua Mungu kulingana na imani yako

Maoni 2 :

Bila jina alisema ...

UJUMBE UMETULIA ADELA NI KWELI MALEZI BORA HUMJENGA MTOTO

Bila jina alisema ...

jamani katoto kazuri wazazi wananafasi kubwa sana katika malezi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom