Album yetu ya leo picha mbalimbali tukiwa katikaTraining workshop iliyoandaliwa na Radio Deutsche welle
Me and my friend Ivona
Kikubwa tunachojifunza ni kuhusu Reforming new constitution in Tanzania,,,NINGEPENDA KUULIZA HILI SWALI KWAKO MDAU,, JE NI KWANINI TANZANIA TUNAHITAJI KATIBA MPYA?
Maoni 5 :
sam mbogo
alisema ...
mimi kwa upande wangu,wala sihitaji katiba mpya.sababu hii ya sasa haija tumika ipasavyo,ni jinsi watu au mtu kwa wakati wake anavyo au wanavyo itafsiri.kama marekebisho kidogo sawa lakini siyo katiba mpya. kaka S.
Maoni 5 :
mimi kwa upande wangu,wala sihitaji katiba mpya.sababu hii ya sasa haija tumika ipasavyo,ni jinsi watu au mtu kwa wakati wake anavyo au wanavyo itafsiri.kama marekebisho kidogo sawa lakini siyo katiba mpya. kaka S.
Ni sawa na kuuliza;
Kwa nini ktk familia kuna hitajika utaratibu (mwongozo).
Au ktk kampuni kunahitajika POLICY.
Ama hapo unapofanya kazi kwa nini mnahitaji vifaa vipya kila baada ya muda flani.
Yapo maswali mengi ya kufanana na hilo, nawaza kimya kimya.
Hongera kwa semina.
mwenzenu mimi hata hii katiba yenyewe ya sasa siielewi kabisa hiyo nyingine sioni hata umuhimu wake Adela you look good
nahitaji mabadiliko thats why nahitaji katiba mpya hususani kwenye suala zima la uongozi hiyo semina inaonekana nzuri sana Adela
Hello Deаr, aгe you гeally visiting this ωebsite on a геgular
baѕis, іf so then you will without doubt obtaіn pleasant know-hοw.
Also visit my web blоg ... russian Based website
Chapisha Maoni