Inawezekana ukawa katika mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye unampenda lakini vitendo vyake vikawa ni kero na hivyo kujikuta baadaye unashindwa kuvumilia na kuamua kutengana naye. |
ni vyema kupenda na kuridhika na kile ulichokipenda na katika hili inabidi uwe umeridhika kutoka moyoni na si kwa kulazimishwa au tamaa. |
mtadumu na kuishi maisha ya furaha kwa sababu mnapendana na kila mmoja ameridhika na mwenzake |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni