Jumatano, Novemba 23, 2011

"zamani tulikuwa tunabusiana na kukumbatiana mara kwa mara, pia aliniita majina kama honey,,baby, darling lakini siku hizi hakuna tena"

Unapoona mabadiliko katika mahusiano usikae kimya kama zamani alikuwa anakupa mahaba motomoto sasa yamepungua tafuta ufumbuzi mapema kwani kukaa kimya kunaweza kuleta matatizo zaidi. kwa mfano inawezekana mwenza wako zamani alikuwa hatumii kilevi au anawahi kurudi nyumbani lakini siku hizi amebadilika  anachelewa kurudi anakunywa pombe,,akuridhishi ukiona hivi kaa na utafakari kwanini mabadiliko hayo yametokea na kutafuta suluhu kuliko kukaa kimya
MAPENZI MATAMU NI YALIYOJAA UAMINIFU, FURAHA, UPENDO NA AMANI UKIMYA HAUJENGI BALI UNABOMOA.

Maoni 2 :

jigambe alisema ...

Wanasema kuwa wapenzi huwa wanachokana wanapokaa kwa sana, hii haiwezi tokea kama mlikuwa mnapendana kwa dhati toka mioyoni mwenu, ila kama ilikuwa ni tamaa na ushapata ulichokitaka basi mtachokana.
kwahiyo angalia mapenzi ambayo upo ndani yake, Je ni ya kweli au tamaa tu. hii itasaidia sana kutoacha kuonyesha kwa mpenzi wako namna gani unavyompenda na kumjali!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom