NEEMA HERBALIST & NUTRITIONAL FOODS CLINIC ni wauzaji wa dawa mbalimbali za asili. Tunayo dawa nzuri na ya asili ya kukata tumbo ( kwa wale wenye matumbo makubwa ). Dawa zetu ni nzuri sana na hazina side effect. Hazijachanganywa na chemicals zozote. Matokeo baada ya siku kumi na nne...Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa simu namba 0767010756 au fika katika ofisi zetu zilizopo eneo la Changanyikeni au tembelea tovuti yetu : http://www.neemaherbalist.blogspot.com//
Maoni 3 :
Adela; Kuna uhakika gani kwamba dawa hizi kweli zinafanya kazi? Zimeshafanyiwa utafiti? Kuna ushahidi na uthibitisho kwamba zinafanya kazi.
Anyway, nilikuwa napita hapa kusema kwamba sasa nimerudi tena rasmi. Tupo pamoja !!!
http://matondo.blogspot.com/2011/12/wanablogu-wenzangu-na-wapenzi-wote-wa.html
Hellow Adela, Pole na majukumu. naombi kwako, nataka unisaidie kuweka gari zangu nauza kwenye blog yako, i don't know how to go about it, or you can send me you email adress. mine is juliethmshiu@yahoo.com.....Shukran
Mdau from Arusha
Nijuavyo mimi dawa ya kukata tumbo ni mazoezi. Tatizo watu wengi wamegubikwa na uvivu kiasi cha kushindwa kufanya mazoezi na ndiyo maana zinaibuka hizi "shortcut". Hebu tujiulize, ulishaona mwanamichezo yupi ana kitambi? Angalia wanasoka wote, matumbo yao yako flat. Je, wanatumia dawa hizi? Jibu, hapana, ni mazoezi ndio yamewafikisha hapo.
Chapisha Maoni