Samaki ni mboga nzuri sana wataalamu wanakuambia pendelea kula samaki wa kuchoma au wa kuchemsha ili kupata supu yake kwani samaki ana kinga mwilini kuliko nyama nyekundu,, pendelea kula samaki au virutubisho vyenye mafuta ya samaki aina ya Omega-3 kila siku ambavyo huimarisha afya ya moyo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni