Jumapili, Machi 18, 2012

MY PICHA




TUENDELEE KUWA PAMOJA WADAU

Maoni 8 :

lulu ibrahim alisema ...

mdada umetoka bomba kweli usijali tuko pamoja mwisho wa mwezi huu nilikuwa naomba uniuzie kitabu kazi njema.

Simon Kitururu alisema ...

Adela Mzuri sana weye!Nimependa Picha sana tu!Pamoja mtu wangu!

ADELA KAVISHE alisema ...

asanteni Lulu and Simon poa mwaya tuwasiliane kitabu kipo

emuthree alisema ...

Tupo pamoja ndugu yangu, mwanamke mvuto ...au sio

Bila jina alisema ...

Am in love already. The pictures are hot. Kennedy Newman Okot, Uganda

Bila jina alisema ...

They say a picture says it all. Quit truuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Bila jina alisema ...

Walahi gari sina na ufungua siwezi acha labda ufungua wangu wa gheto langu uswazi, sasa wadau walioko nje ya nchi wanapata vipi kitabu chako.

Bila jina alisema ...

punguza unene mdada unaanza kupungua uzuri

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom