Wakati akiwa na shida anakuja kwako huku akikuomba kwa upole na ahadi nyingi kwamba nitakurudishia siku fulani, Sasa kazi inakuja siku ya kulipa deni ataanza kukukimbia huku na kule mara simu yake ya mkononi kazima haipatikani, unamtumia ujumbe kwenye simu hakujibu, anakuambia bado sijapata nitakulipa kesho mwisho wa siku anaanza kukununia na hata mkafikia hatua ya kuwa maadui kisa unadai chako.JAMANI DAWA YA DENI NI KULIPA. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni