Alhamisi, Aprili 19, 2012

Kipengele cha ADELA VOICE KINAKUJIA HIVI KARIBUNI MDAU WA ADELA BLOG

Maoni 5 :

emuthree alisema ...

Tupo pamoja mpendwa Adella

lyna wa ukweee alisema ...

hya mama sana tu twasubr iyo kitu

Bila jina alisema ...

adela mimi napenda sana blog yako haipiti siku sijakutembelea nione ulicho tuwekea naipenda blog yako na wewe pia kama hutajali nilikuwa nataka tu kujua wewe ni kabila gani ubaishi wapi je umeolewa na je unamtoto unafanya kazi gani usijali kunijibu mimi ni fan wako mkubwa ubarikiwe sana nasubiri majibu kutoka kwako dear

ADELA KAVISHE alisema ...

asanteni sana wadau wangu tuko pamoja sana

marabe.webs.com alisema ...

aisee una sauti nzuri sana dada....

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom