Alhamisi, Aprili 12, 2012

Mawazo yako ndiyo yanajenga au kubomoa maisha yako

Ujumbe wangu wa leo Katika maisha kile unachokiwaza juu ya maisha yako kinaweza kujenga au kubomoa maisha yako kama umekuwa mtu wa kujiwazia mabaya na kukata tamaa basi ujue maisha yako yatakuwa hivyohivyo lakini kama utawaza mazuri huku ukiongeza juhudi bila kukata tamaa basi mawazo yako yatakujengea maisha mazuri. TUWAZE YALIYO MEMA ILI KUJENGA YALIYO MAZURI









Maoni 1 :

Bila jina alisema ...


Hi dadangu mpendwa. Nashukru kwa blog yako. Naipenda kwa hadithi zako za Bado mm na Kosa langu...LAKNI MBONA KIMYA KINGI NA HADITHI ZAKO HAZIENDELEI HIVI SASA????

Wahi???????tupe uhongo baci....PLEASE.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom