Mchakato wa KATIBA MPYA TANZANIA vijana wanasemaje sikiliza maoni katika makala hii fupi kupitia ADELA VOICE
Maoni 1 :
lyna wa ukweee
alisema ...
kusema ule ukweli katiba ya nchi yetu ingewekwa wazi hata wale wasiojua mna ya katiba waweze jua,pia serikali ingekuwa inawaangalia sana wananchi wake hasa wale wenye kipato cha chini.

Chapisha Maoni