Jumatano, Mei 23, 2012

Inapendeza sana mwanamume kuwa smart kama hivi

Kanye West napenda sana the way anavyovaa anajua kujipanga katika mavazi


Dullah Spartan cow boy pendeza sana

good good

Trey Songs freshi sana

Inapendeza kujiweka smart wakati wote

Maoni 2 :

Simon Kitururu alisema ...

Maswala ya Ladha hayo! AU?:-)

Bila jina alisema ...

huyu dulla ni mtz? mzuri? yupo facebook? anatumia jina gani?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom