Jumanne, Mei 01, 2012

"Je ni kweli tabia za wanaume wote zinafanana????

Kutokana na matatizo yanayojitokeza katika mahusiano baadhi ya wanawake wamekuwa na kauli hii "yaani wanaume wote tabia zao ni moja sema tu majina ndiyo yanatofautiana" Inamaana wanaume wanaongoza kwa usaliti katika mapenzi kuliko wanawake binafsi naamini kwamba siyo wanaume wote ambao siyo waaminifu na siyo wanawake wote ambao ni waaminifu katika mapenzi JE WEWE UNASEMAJE

Maoni 5 :

Bila jina alisema ...

Yeah,adie,boys tabia zao cna fanana

Bila jina alisema ...

Is any arabian is terrolist like osama?..just relate ths with u a post i thnk u may get excatly answer!

lyna wa ukweee alisema ...

naweza sema ndio iyo kauli ina ukweli ndani mna wanaume hawaridhiki sijui wapewe nini dada angu mana kha!yn awana utu hata kidgo!Na pia sio wote kati ya 10 wenye mioyo ya huruma ni 3 awazidi ya hapo.

david jermos alisema ...

yah nianze kwa kukubaliana na hoja yako sister,hiyo shida pande zote mbili huwa zinaleta migogoro hata kupelekea huhusiano kuvunjika,lkn kitu ambacho nataka kuwashauri wenzangu wanaume ni mwanzo wa mapenzi jifunze kuwa mkweli kwa mwenzi wako,na haya yote mtaepukana nayo.

Unknown alisema ...

n kweli hakuna tabia zinafanana kw wanaume n bac 2 kwan km mwanaume mmoja akikupenda c kwamba anaekuja nae atakutenda,hyo kwsababu hujapata ur choice,kwan wanawake pia c wte wanafanana

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom