Asanteni sana kwa kuwa wadau wa simulizi zangu, ambazo naziweka kupitia hapa bloguni.Ningependa kufahamu kutoka kwako ipi unaipenda ambayo ungependa kufahamu muendelezo zaidi, pia unaweza kuweka mapendekezo nikuwekee muendelezo wa simulizi kila baada ya muda gani? tuko pamoja sana. |
Maoni 9 :
Niaje cster ADELA,ukweli ni kwamba tumemisi sana simulizi zako,humu ndani.mi,ningependa huanze na simulizi ya "dada yangu'na kama ikiwezekana uwe unaweka after 2 or 3 days.tupo pamoja cster pul up.
plsssssss ya DADA ANGU na MAMA MDGO.ila kma una una mda endeleza ya DADA YANGU.
Mi ningependa Simulizi ya DADA YANGU ndiyo iendelee kwa haraka pia uwe unaiweka kila baada ya siku mbili. ntafurahi sana. pia tunasuburi vitabu huku Arusha.
Mimi Napenda zote, zilivyo tamu ningelifurahi kila siku ungeweka zote...Tupo pamoja
Dada yangu ndio mwisho wa habari
dada yangu. ni stori nzuri sana mummy natamni iindelee
Hi Adela mi umenikata uhondo pale ulipoacha kuendelea na simulizi ya kosa langu, naomba uendelee nayo japo kwa wiki mara 2 simulizi hizi zinatupa fundisho na kutuburudisha pia.
hi! Adela hope upo pouwaaa mi ningependa uendeleze ya dada yangu naipenda sana
tuko pamoja sana wadau wangu nitajitahidi kuwawekea simulizi mara kwa mara nashukuru sana kwa kuwa wadau wangu
Chapisha Maoni