Ni muhimu kupata nafasi ya kupumzika baada ya kazi
Hilaly Sadalah wa PASSION FM RADIO akitafakari jambo
Kazi inaendelea "duuh leo nimechoka" sidhani kama kuna mtu anaweza kufanya kazi bila ya kupumzika ni vyema kutafuta muda wa kupumzisha akili ili kuboresha kazi yako wakati wote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni