Binadamu tunakutana na changamoto nyingi sana, katika haya maisha lazima ukubali kuna atakayependa ama kufurahia kazi yako, lakini pia kuna wale ambao wapo kwaajili ya kukosoa kazi yako yaani hata kama ufanye vizuri lazima kuna atakaye kukosoa ama kupinga kile unachokifanya wengine husema hali hii hutokana na wivu, choyo, chuki ama wengine hukosoa wakiwa na nia nzuri ya kuelimisha JE WEWE UNASEMAJE. |
Maoni 1 :
Adela nimekukubali sana yaani haya maneno yananigusa
Chapisha Maoni