watu kuonyeshana mapenzi motomoto hadharani kama mbele ya watoto nk |
kwa wazungu inaonyesha ni kawaida kufanya hivyo na mtu asikushangae lakini kwa utamaduni wetu Watanzania sizani kama ni vyema mambo yenu ya chumbani kuweka hadharani jamani |
Wengine wanapaki magari yao public halafu mahabati yanaendelea |
Mapenzi yanaitaji ubunifu lakini inapendeza zaidi mambo ya chumbani yakabaki chumbani isije ikawa na hadharani mnaonyesha namna mnavyopena mahabati |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni