Alhamisi, Juni 14, 2012

MY ALBUM TODAY

LEO NILIKUWA NA FURAHA BASI NIKAWA NAJIPIGA TU PICHA
Napenda sana kuwa karibu na laptop muda wote

lovely












Maoni 3 :

RUKY alisema ...

JAMANI NAOMBA SIRI YA UREMBO WA NGOZI YAKO MBONA INAZIDI KUWA NYORORO PLZZZ..... UMEPENDEZA KWELI MREMBO USIACHE KUNIJIBU

Bila jina alisema ...

asante mwaya siri natumia vipodozi vyenye machanganyiko wa tango na maranyingi huwa nachanganya aina lakini lazima kuwe na mchanganyiko wa tango au tango peke yake pamoja na kunywa maji mengi kila siku inasaidia sana pendelea kutafuna karoti mbichi mara kwa mara au tumia juisi yake inasaidia pia

RUKY alisema ...

ASANTE NASHUKURU ILA SIJAELEWA TANGO UNALIFANYA NINI NI KULILA AU KUJIPAKA USONI?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom