Muziki ni kitu ambacho nakipenda sana hususani nyimbo za R$B na Blues |
yaani burudani hata ukiniongelesha naweza nisikujibu kwa wakati huo husaidia kupunguza uchovu wa akili na mawazo |
taratibu napata muziki laini wa Celine Dion unaoitwa to love you more |
mmmmmh hisia za muziki zimetawala hadi kusinzia lol |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni