Alhamisi, Juni 21, 2012

Ni vyema kupenda kupendeza wakati wote huongeza vionjo


Nimeipenda picha wamependeza sana ukweli ni kwamba ni vyema kujipenda wakati wote kwani huongeza mvuto katika mapenzi na watu wanaokuzunguka pendelea kuonekana mpya kila wakati

Maoni 2 :

emu-three alisema ...

Jamaa anasema starehe gharama, na mapenzi ya sasa ni gharama pia kwani ni moja ya starehe, ni kweli mpendwa?

Bila jina alisema ...

powa

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom