Katika mahusiano inapotokea mmezoeyana na mwenza wako inapendeza sana kwani mnaweza kutaniana kucheza pamoja kuambiana ukweli lakini mazoeya haya yasipitilize kipimo kwani kuna wengine hujisahau na kujikuta akimdhalilisha mpenzi wake mbele za watu huku akiona anafanya utani kumbe unamdhalilisha mwenziyo kuna mambo ya kutaniana chumbani na si mbele za watu, lakini pia pamoja na kuwepo mazoeya baina wapenzi lazima tukumbuke heshima ichukue mkondo wake kwani si kila wakati ni wakati wa utani. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni