Jumanne, Juni 26, 2012

WADAU WA SIMULIZI ZANGU KWA AMBAO HAWAJAKIPATA KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA KILICHOBEBA SIMULIZI INAYOITWA DADA YANGU,MAMA MDOGO NA MALIPO NI HAPAHAPA BADO KINAPATIKANA MTAANI

kitabu changu cha MALIPO NI HAPAHAPA Arusha kinapatikana kwa muuza magazeti karibu na Idara ya maji alimaarufu kama Chini ya mti. Dar es salaam kinapatikana SALAMANDA BOOKSHOP POSTA na Kariakoo kinapatikana ROUND ABOUT JENGO KUBWA LA VODA  COROD'S UHURU BOOKSHOP, MTAA WA MSIMBAZI NA LINDI  ,,Mwanza kinapatikana BOOKPOINT karibu na kituo cha mafuta TRA zamani,,Kahama kinapatikana MUSHI STATIONARY ipo karibu na stendi ya mabasi
Musoma kinapatikana Musoma mjini kwa muuza MAGAZETI stendi ya zamani ya mabasi ,,DODOMA kinapatikana DODOMA MJINI MAKEYI HOUSE,,Tabora kinapatikana URAMBO mjini SIZANI Bookshop kwa Shekhe Bilali na Barabara ya Salmini karibu na Meya Hotel CHABRUMA duka la vitabu 

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Kitabu hicho jamani.kusoma kitabu ni sawa na kuwa na rafiki, unaongea naye kwa maandishi, au sio?

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom