Alhamisi, Julai 05, 2012

NI VYEMA KUJITAMBUA KUWA UNAYEMPENDA NAYE ANAKUPENDA

Katika mahusiano ya kimapenzi ni vyema ama ni vizuri sana kutambua kuwa ninayempenda naye ananipenda kwani wakati mwingine mtu unaweza kufikiri kuwa unapendwa kumbe hakuna mapenzi ya kweli, kuna mambo ambayo yanaweza kukuonyesha wazi kwamba unayempenda naye anakupenda kama uaminifu,heshima,kujali ushirikiano mzuri katika mambo mbalimbali anapenda kuwa karibu na wewe yaani uwepo wako ni furaha na wote mnafurahi KUWA MAKINI NA MATAPELI WA MAPENZI JITAMBUE

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

MPENDE akupendaye, asiyekupenda kama ni mumeo, kwanza jiulize kwanini hakupendi, na kwanini awapende wengine,jibu ni kuwa kama wao wameweza mpaka wakependwa,kwanini wewe ushindwe, ....

Kama ni mpendi wa muda, achana naye...

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom