![]() |
| unaweza kukuta mwanamke au mwanamume hajisikii hata kuwa karibu kimapenzi na mume au mke wake yaani atamani hata aguse kuna wengine wanadiriki hata kulala vyumba tofauti |
![]() |
| Lakini wapo ambao wanatambua umuhimu wa furaha na amani katika ndoa yao siku zote wanaishi wakiwaza nini kifanyike kuendelea kudumisha upendo |
![]() |
| Ni vyema kupenda kumshirikisha Mungu katika mahusiano yenu |
![]() |
| Inawezekana kuwa na furaha na upendo katika ndoa yenu vyema kujitambua na ushirikiano uwepo baina ya mwanamke na mwanamume . |





Maoni 1 :
Upendo,amani na kumcha mungu nimfanikio ya ndoa
Chapisha Maoni