Alhamisi, Septemba 27, 2012

FURAHA NI SEHEMU YA MAISHA YANGU NAPENDA KUWA NA FURAHA WAKATI WOTE

Ni kweli wakati mwingine mtu unaweza kuwa hauna furaha kutokana na mambo mbalimbali ya kimaisha lakini sikuzote ni vyema kutafuta furaha ya kweli haijalishi upo katika maisha gani jambo lamsingi nikujithamini na kujitambua ifanye FURAHA KUWA SEHEMU YA MAISHA YAKO

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom