Jumanne, Septemba 04, 2012

UJUMBE WANGU WA LEO "SIYO KILA ANAYECHEKA ANA FURAHA MOYONI MWAKE"

Maisha yana changamoto nyingi sana wakati mwingine unaweza kuwa unacheka lakini moyo wako unalia lakini pia unaweza kuwa unalia lakini ukawa unalia machozi ya furaha. FURAHA  UPENDO NA AMANI NI NGUZO MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YETU

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Tupo pamoja mpendwa, ni kweli kucheke na furaha, vinaweza visiwe sambamba, kucheka hutoka mdomoni, na furaha hutoka moyoni!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom