Jumanne, Oktoba 02, 2012

Anaweza kuwa msaliti lakini usifahamu chochote

Katika maisha ya  mapenzi inawezekana ukawa unamuamini sana mwenza wako kulingana na maisha manayoishi kama anakujali kwa kila kitu unachohitaji huku akikupa mapenzi motomoto lakini pia kwa wakati mwingine mtu huyo ni msaliti  ni kweli ya wezekana ikawa ni vigumu kumtambua msaliti katika mapenzi kutokana na mnavyoishi.

 labda itokee umepewa maneno na watu na hata na hivyo utakapoletewa maneno unaweza usiamini  kwani mara nyingi amekuwa huru kwa kila kitu kwako hata simu yake ya mkononi umekuwa huru nayo unapomuhitaji unakuwa naye kwahiyo unahisi awezi kukusaliti ninachoamini UAMINIFU KATIKA MAPENZI UNAJENGWA NA MTU MWENYEWE KWANI INAWEZEKANA AKAWA NI MWIZI LAKINI USIGUNDUE 

Maoni 1 :

emuthree alisema ...

Upenzi, urafiki ni kitu kingine, na NDOA ni jambo jingine, mnapoingia kwenye ndoa kama mnasalitiana, basi sijui hapo kuna ndoa tena.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom