Wataalamu wanakuambia ni vyema kunywa maji kila siku walau lita nne kwa siku lakini kwa kiasi kikubwa mtu huweza kunywa soda nyingi amba kilevi cha aina fulani kwa kiasi kikubwa kuliko kunywa maji. lakini maji ni mazuri zaidi kiafya na pia inashauriwa unapoamka asubuhi kabla ya kusafisha kinywa kunywa glasi nne za maji yasiwe ya baridi ni mazuri sana kwa afya na pia husaidia kulainisha choo kwa wale wenye matatizo ya tumbo . |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni