UJUMBE WANGU WA LEO "SIYO KILA KITU NI CHA KUIGA VINGINE UNAVIACHA KAMA VILIVYO" NAWATAKIA WEEKEND NJEMA WADAU
Kuna baadhi ya mambo ambayo yanafanyika katika jamii iwe ni katika maendeleo, mapenzi nakadhalika ni vyema kuangalia mambo mazuri na kuiga, lakini halahala si kila jambo ni la kuiga vingine havifai UMAKINI NI MUHIMU KATIKA KILA JAMBO.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni