Hahahahaaaaaaaa!! Ann wa hapo juu vipi mumeo ni kiruka njia nini? Una wasiwasi sana bila shaka anatupia jicho kwenye blog hii.Hata hivyo kwa huyu dada binti kavishe hatafua dafu.Siyo wale wenye macho juujuu.Adela umeona ombi la msomaji wako?Umependeza sana na nywele zako asilia jamani du kumbe haya mawigi yanatuondolea confidence ya kujiridhisha na sili ya nywele zetu.Najifunza mengi kwenye tovuti yako Adela tena huna mbwembwe wala vituko,you are very smart,nimekupenda dada.
Maoni 4 :
Macho hayo utatuibia waume zetu punguza makali hayo!
Hahahahaaaaaaaa!! Ann wa hapo juu vipi mumeo ni kiruka njia nini? Una wasiwasi sana bila shaka anatupia jicho kwenye blog hii.Hata hivyo kwa huyu dada binti kavishe hatafua dafu.Siyo wale wenye macho juujuu.Adela umeona ombi la msomaji wako?Umependeza sana na nywele zako asilia jamani du kumbe haya mawigi yanatuondolea confidence ya kujiridhisha na sili ya nywele zetu.Najifunza mengi kwenye tovuti yako Adela tena huna mbwembwe wala vituko,you are very smart,nimekupenda dada.
asanteni wadau wangu lol jamani siwezi kufanya hivyo mwaya tuko pamoja sana
Adela jamani nasubi kwa hamu huu uhpndo nakukubali sana
Chapisha Maoni