Jumatatu, Desemba 10, 2012

MANENO MATAMU KWA UMPENDAYE


NAKUPENDA SANA MPENZI  WANGU WEWE NDIYE NGUZO YANGU NAFURAHIA UWEPO WAKO KARIBU YANGU SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU WEWE NI MTU AMBAYE UNANIFANYA KUWA NA FURAHA KWA MAPENZI UNAYONIPA 
******************************************************
FURAHA NI KAWAIDA YANGU KUNUNA SI  HEKIMA KWANGU KUISHI NA WEWE NI  VIZURI NI SEHEMU YA MAISHA MAZURI NAPENDA NTUPENDANE MILELE DAIMA
******************************************************
NI WANGAPI WALISEMA WANAKUPENDA LAKINI USIVIMBE KICHWA KWANI SI KILA ANAYEKUAMBIA ANAKUPENDA ANAYO MAPENZI YA KWELI , WENGINE NI WAHARIBIFU  HAWAKUPENDI BALI WANAKUTAMANI LAKINI MIMI SIKUTAMANI BALI NAKUPENDA KATIKA MAISHA YA SHIDA NA RAHA

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom