Jumatano, Januari 02, 2013

REST IN PEACE SAJUKI MUNGU AKUWEKE MAHALI PEMA PEPONI

Msanii Juma Kilowoko (SAJUKI)amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam. Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala,Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu.
Sajuki akiwa na mke wake kipenzi Wastara

Akiwa na mtoto wake

walipendana sana walikuwa pamoja katika  shida na raha lakini kazi ya Mola haina makosa Mungu ampe nguvu  mke wa Sajuki Wastara katika wakati huu mgumu.REST IN PEACE BROTHER

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom