Jumapili, Februari 10, 2013

INAWEZEKANA AKAGOMBANA NA WEWE LAKINI BADO ANAKUPENDA.

Migogoro inapotokea katika mahusiano kwa wawili wapendanao unaweza kufikiri mwenza wako hakupendi, lakini yawezekana anakupenda sana lakini kutokana na kwamba binadamu hatujakamilika basi inapotokea umegombana naye moja kwa moja unahisi hakupendi lakini unasahau yale mazuri aliyokufanyia, unaambiwa katika suala  la uvumilivu jambo moja wapo la kuzingatia ni pale inapotokea migogoro jaribu kufikiria mabaya na mazuri yaliyokuwepo katika uhusiano ulionao kisha tafakari je chanzo ni yeye? au ni wewe? na je aliteleza tu au ni tabia yake kukuumiza kila wakati? TAFAKARI KABLA YA KUCHUKUA MAAMUZI

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom