Pages

Ijumaa, Machi 29, 2013

POLE SANA KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WALIOFIKWA NA MSIBA WA NDUGU ZAO, KUTOKANA NA GOROFA KUPOROMOKA DAR ES SALAAM LEO..

ZAIDI YA WATU 60 WAMEFUKIWA NA KIFUSI MAJERUHI WAMEKIMBIZWA HOSPITALINI, LAKINI BADO  UOKOAJI UNAENDELEA NA MAITI ZINATOLEWA KATIKA KIFUSI HICHO

NANI ANALAUMIWA KATIKA HILI JAMANI,,,,, MUNGU WAPE NGUVU NA MATUMAINI NDUGU NA JAMAA WALIOWAPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA TUKIO HILI.

Maoni 2 :

emu-three alisema ...

KWAKWELI INASIKITISHA SANA, HATA CHA KUONGEA SINA, MAANA TUNARUDIA MAKOSA YALE YALE KILA SIKU

emu-three alisema ...

Kwakweli inasikitisha sana, kwani kutokana na uzembe wa watu, umesababisha watu wasio na hatia kupoteza maisha.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom