Jumanne, Machi 12, 2013

URAFIKI KUANZIA UTOTONI,JE UNAMKUMBUKA RAFIKI YAKO WA UTOTONI?

Joan akiwa na rafiki yake.Je unamkumbuka rafiki yako wa utotoni??Mtoto anapoanza  chekechea anakuwa na marafiki na hata anapoanza darasa la kwanza anakuwa na marafiki wengine baadaye akiwa kidato cha kwanza marafiki huongezeka Kwa kiasi kikubwa. kuna watu wamewasahau kabisa marafiki zao wazamani tokea utotoni JE WEWE UNAMKUMBUKA RAFIKI YAKO WA UTOTONI NA JE BADO URAFIKI WENU UNAENDELEA AU ULIIISHA KWA WAKATI ULE ....

Maoni 1 :

tyson alisema ...

YES!

YAP MPAKASAS NI MARAFIKI ZANGU, TUNA WASILIANA. from TYONE_ UDOM.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom