Jumapili, Machi 03, 2013

Witness katika mapozi tofauti

Ni mwanafunzi  aliyemaliza kidato cha nne ana malengo ya kuwa mwanasheria akiwa amepozi katika picha

Ujumbe wanafunzi tusome kwa bidii bila kukata tamaa na pia ametoa ushauri kwa wazazi kuwa karibu  na watoto wao ili kuwasaidia waweze kufikia malengo yao.

Anapendelea kula ndizi kuku na  kunywa juice


Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom