Pages

Jumapili, Mei 12, 2013

HAPPY MOTHER 'S DAY.

NANI KAMA MAMA JAMANI,, Mama anayonafasi kubwa sana katika malezi na kujenga taifa kwa namna moja au nyingine pongezi ziende kwa kina Mama wote duniani.
Mama anastahili kupewa sifa na pongezi wakati wote. Kumbuka alivyoteseka kwasababu yako. amekulea kwa mapenzi mazito, amakufikisha hapo ulipo  ni vyema kuwathamini na kuwaheshimu sana akina Mama yawezekana akawa ni Mama yako mzazi au vinginevyo lakini siku zote MAMA NI MAMA.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom