Alhamisi, Mei 30, 2013

JE UNAFIKIRI MARAFIKI WANAO UMUHIMU GANI KATIKA MAISHA YAKO????


Unaweza kuwa na rafiki akawa zadi ya rafiki na sasa ukamuona kama ndugu yako. Kulingana na namna mnavyoishi pamoja.

Ni vigumu kumtambua rafiki wa kweli, kwani wakati mwingine waswahili wanasema "Rafiki yako ndiyo anaweza kuwa adui yako" au "kikulacho ki nguoni mwako"  lakini pia ni muhimu kuwa na marafiki katika maisha.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom