Pages

Jumatano, Julai 24, 2013

VIAZI VITAMU VINAWEZA KUWA MOJA KATI YA CHAKULA KATIKA FUTARI YAKO.

Ni ukweli ulio wazi kuwa, njia bora na ya kipekee ya kukabiliana na ukosefu wa kinga mwilini, ni kula mlo wenye virutubisho vyote muhimu. Hivyo, inashauriwa mlo wako uwe kwa kiasi kikubwa ni wa vitu vifutavyo:

Hakikisha unakula kwa wingi matunda, mboga za majani, nafaka lishe, maharage na karanga, epuka kula kwa wingi sukari, hasa nyeupe. Pia kula vyakula kwa wingi kama machungwa, karoti, viazi vitamu, nyanya na pilipili mboga bila kusahau jamii zote za kabichi.

Unaweza kupika viazi vitamu kwa kuchemsha tu, au kuviunga  pamoja na nazi.Viazi vitamu ni chakula kizuri kwa  gharama nafuu pia.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom