Jumapili, Agosti 11, 2013

UMUHIMU WA PICHA ZA UKUMBUSHO.

Kuwa na picha ya pamoja kwa familia  ni ukumbusho mzuri sana.

Baadhi ya familia uhakikisaha kila mwaka wanapiga picha ya pamoja.

usisubiri wakati wa sherehe ama dsikukuu ndiyo upige picha.

PICHA NI UKUMBUSHO MZURI KATIKA MAISHA YETU.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom